Vitamin E.
Kutumia Vitamin E kuna faida nyingi sana katika ngozi yako. Ina-antioxidant ambayo ina uwezo wa kupambana na radical zinazo sababisha uzee. Baadhi ya mifano ya itikadi kali (free radical) ni moshi, uchafuzi wa mazingira na miale ya jua.
Vitamini E pia ni moisturizing ambayo hupatikana katika miili yetu. Upatikana katika aina nyingi ya vipozi vya ngozi, ambayo inafanya upatikanaji wake kuwa rahisi zaidi, lakini inapatikana pia kama maduka ya madawa baridi kama Supplements. Ni rahisi kutumia dawa hizo (Vitamin E Supplement) ambozo zimetengenezwa katika soft gel capulse na kupaka moja kwa moja katika ngozi kwa kutoboa kidonge hicho.
Vitamin A.
Je, wajua kuhusu ant-aging and ant acne pamoja na "retinol"? Kama wajua, basi wewe ni mzoefu wa Vitamin A na wajua mambo makubwa inaweza kufanya katika ngozi yako.
Vitamin A inasaidia ngozi yako kubadilika haraka na kuleta ngozi mpya na ngozi safi kwenye uso. Inaweza kusababisha muwasho katika ngozi yako na mara nyingi inashauriwa kuanza kuitumia taratibu na kupaka kiasi kidogo tu katika ngozi yako na kuipaka kila baada ya siku chache.
Kutumia Vitamin A uifanya ngozi yako kuwa sensitive sana na jua, hivyo inashauriwa kupaka sunsreen kiasi cha kutosha. itachukua muda kidogo kuona mafanikioa katika ngozi yako kwa hiyo uvumilivu unaitajika.
Ni bora ukapata vitamini A kutoka kwa dermatologist ambae anaweza kukuelimisha na kukushauri juu ya matumizi na kukupa kiwango kinachoitajika kwa ngozi yako. Bidhaa nzuri ya Vitamin A ambayo waweza pata kwenye cosmetics shop ni ZO Skin Health.
Vitamin K.
Kama umekuwa ukitafuta creme kwa ajili ya kuondoa weusi maaaeneo ya jichoni ni lazima cream hiyo iwe na vitamin K.
Weusi chini ya macho husababishwa na sababu mbalimbali na weusi huo uwenekana kwa sabuba ya leaking capillaries chini ya ngozi yako. Ngozi chini ya macho yako ni nyembamba, ambayo inafanya leaking capillaries iyoonekane kuwa nyeusi.
Ni mara nyingi inapendekeza kuangalia stress level, muda wa kulala tabia na uvutaji wa sigara ili kupunguza weusi huo kati ngozi ya machoni. Concealers ufanyakazi ya ajabu sana lakini bado haiwezi kukomesha ama kuondoa weusi huo. Ili kupambana na tatizo hilo kutomia Eye Cream yenye Vitamin K, kama MD skincare: Lift na Lighten Eye Cream ambazo ni uamini kwa kuonda weusi katika ngozi ya jichoni.
Vitamin C.
Vitamini C ni aina nyingine ya antioxidant ambayo upatikana kwenye jamii ya machungwa (citrus fruits). Bidha hii upatikana kwa urahisi sana na waweza ipata katika maduka ya vipodozi. Vitamini C pia upambana na free radical ambazo usababisha mikunjo katika uso na vile vile upunguza aging process.
Vitamin C ina faida kubwa katika ngozi yako lakini ni muhimu kujaribu kutumia serums au moisturizers za vitamin C kwani ni nzuri zaidi. Baadhi ya bidhaa zenye vitamin C ni; EmerginC.
Vitamin B.
kama unangozi kavu au unataka kupungua madoa katika ngozi. Kutumia bidhaa zenye Vitamin B inaweza pia kusaidia kuongeza muonekano mzuri wa ngozi yako na pia usaidia kupambana na chunusi.
Utaona lebel katika dawa (creme/serum/moisturizer) zimeandikwa B-3, B-5, 6 B-B-12, nk .. zote hizo ni aina za Vitamin B na waweza chaguo products yeyote yenye hizo.
Products nzuri yenye Vitamin B ni Olay Total Effects, ambayo ina aina 7 vitamin ikiwa pamoja na Vitamin B. Olay wanacollection yenye Vitamin B kuanzia cleansers, serums hadi moisturizers.
Thanks for sharing
ReplyDeleteNi vyema sana lakini je hivyo vidonge unavipakaje? Au ni kuvisaga inachanganya kwenye lotion
ReplyDelete