Thursday, 23 June 2011

5 Vitamini kwa Ajili ya Ngozi yenye Afya.

Vitamin E.
Kutumia Vitamin E kuna faida nyingi sana katika ngozi yako. Ina-antioxidant ambayo ina uwezo wa kupambana na radical zinazo sababisha uzee. Baadhi ya mifano ya itikadi kali (free radical) ni moshi, uchafuzi wa mazingira na miale ya jua.
 
Vitamini E pia ni  moisturizing ambayo hupatikana katika miili yetu. Upatikana katika aina nyingi ya vipozi vya ngozi, ambayo inafanya upatikanaji wake kuwa rahisi zaidi, lakini inapatikana pia kama maduka ya madawa baridi kama Supplements. Ni rahisi
 kutumia dawa hizo (Vitamin E Supplement) ambozo zimetengenezwa katika soft gel capulse na kupaka moja kwa moja katika ngozi kwa kutoboa kidonge hicho.